Waziri wa Kilimo, Mifugo na
Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba (katikati)akimsikiliza Afisa Habari wa
Bunge Ndg. Patson Sobha (kushoto) wakati alipotembelea Banda la Bunge
katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea kwenye Viwanja vya
Nzunguni, Mjini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Ndg.
Deogratius Ndejembi
Waziri wa Kilimo, Mifugo na
Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba akiuliza swali baada kutembelea Banda la
Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea kwenye Viwanja vya
Nzunguni, Mjini Dodoma. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Ndg.
Deogratius Ndejembi na kulia ni Afisa Habari wa Bunge Ndg. Patson Sobha.
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba akisalimiana na Katibu Msaidizi wa Bunge, Ndg. Bakari kishoma wakati alipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea kwenye Viwanja vya Nzunguni, Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...