Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwakabidhi bendera ya
taifa askari kumi (10) waliopata uteuzi wa kwenda kuiwakilisha nchi ya
Tanzania kwenye kazi ya Ulinzi wa Amani nchini Sudani ya Kusini (UNMISS)
IGP Sirro, amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa
kuzingatia misingi ya sheria na taratibu. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwa kwenye picha ya pamoja na askari waliopata uteuzi wa kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye kazi ya Ulinzi wa Amani nchini Sudani ya Kusini (UNMISS) IGP Sirro, amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu. Picha na Jeshi la Polisi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...