Wafanyakazi
wapya wa Kampuni ya EY Tanzania ambao wameajiriwa kutoka vyuo mbalimbali
hapa nchini, wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari wa safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini kwa mafunzo ya awali katika maswala ya Ukaguzi yanayotolewa na Kampuni hiyo kwa wafanyazi wote wanaopata nafasi ya kujiunga nao. Wafanyakazi hao, ni wale waliofanyiwa usaili kati ya
wengi waliokuwa wameomba kazi kupitia mfumo wa ajira wa Kampuni hiyo
uliounganishwa kwa APP maalum ya simu, na yao hayo yatakuwa ni ya wiki tatu.
Wafanyakazi wapya wa Kampuni ya EY Tanzania ambao wameajiriwa kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini, wakielekea sehemu ya kuondokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari wa safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini kwa mafunzo ya awali katika maswala ya Ukaguzi yanayotolewa na Kampuni hiyo kwa wafanyazi wote wanaopata nafasi ya kujiunga nao.
Picha ya pamoja kabla ya kuondoka.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...