Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku akishiriki kuchimba mtaro wa
mtaa wa
Kichangani Kata ya Maweni ambao utapitisha maji kutoka
Pongwe
Mke wa Mbunge wa Jimbo la
Tanga nae akishiriki zoezi la Uchimbaji wa mtaro
huo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na wananchi wa mtaa wa Kichangani Kata
ya Maweni wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea na kushiriki nao
uchimbaji wa mtaro wa kupitishia maji
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...