NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo (kushoto) akizungumza na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu
Lyuping (kulia), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam.
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo (wapili kushoto) akizungumza
na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China
(CPC), Xu Lyuping (kulia), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Katibu wa NEC
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa KIanali mstaafu Ngemela Lubinga.
Ujumbe
wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM_Bara Rodrick Mpogo na ujumbe wa Naibu
Waziri wa mamambo ya Nje wa CPC, wakishangilia baada ya mazungumzo
kumalizika.
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akiagana na Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada
ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...