Mheshimiwa
Spika Job Ndugai leo amemtembelea Ikulu na kufanya mazungumzo na Rais
wa Iran alieapishwa jana,Mhe Hassan Rouhani ambapo Mheshimiwa Spika
amempongeza kuteuliwa kwake kwa mara ya pili na kumuahidi ushirikiano wa
karibu baina ya Bunge la Tanzania na la Iran. Mheshimiwa Spika alikuwa
ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa kushuhudia kuapishwa kwa
Rais Rouhani katika sherehe zilizofanyika kwenye Bunge la Iran mjini
Tehran.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...