Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Poloepole akizungumza na Kaimu Balozi
wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson, katika ukumbi wa Sekretarieti,
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo,
Agosti 21, 2017.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Poloepole akilipokuwa akimkaribisha
Kaimu Balozi
wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson, katika ukumbi wa Sekretarieti
kwa ajili ya mazungumzo, baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo,
Agosti 21, 2017. Picha zote na Bashir Nkoromo.
PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...