Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na
Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017 .
Wengine ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi na
Utawala bora)Mhe. Angela Kairuki, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma Dr. Laurean Ndumbaro, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola, na
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa TAKUKURU Bw. Alex Mfungo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na
Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta
jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
(TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
kwa risala nzuri Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na
Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola alipowatembelea makao makuu yao
Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
Bw. Valentino Mlowola alipowatembelea makao makuu yao Upanga jijini Dar
es salaam leo Agosti 28, 2017. Wengine ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais
(Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Mhe. Angela Kairuki na
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean
Ndumbaro. Picha na IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...