Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akizungumza na ujumbe wa wataalamu kutoka Morocco
waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali
za ujenzi wa eneo changamani
la Michezo .Kushoto kwa Waziri ni
Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akiwa katika picha
ya pamoja na wataalamu kutoka Morocco waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya
kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo changamani la Michezo.Wengine
pichani ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph
Singo na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw.Petro Lyatuu.Picha zote na Daudi
Manongi,MAELEZO,DODOMA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...