Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akifungua pazia kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi Jengo
jipya la Skuli ya msingi Kihinani leo akiwa katika ziara yake katika
Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi,Wazee na Wanafunzi
wakati wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo jipya katika Skuli ya
msingi Kihinani jimbo la Mfenesini leo,akiwa katika ziara yake katika
Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya
Maendeleo,(kulia) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe
Juma na (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed
Mahmoud
Waziri
wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Mhe.Salama Aboud Talib alipokuwa
akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea Mradi wa Visima
vya Maji Safi na salama katika Shehia ya Bumbwisudi leo alipofanya ziara
yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya
Maendeleo.Picha na Ikulu.20/08/2017
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...