Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza katika hafla
fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la
kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa
huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam
Septemba 29, 2017. Hafla hiyo pia iliambatana na uzinduzi wa wiki ya
huduma kwa wateja.
Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully
Mwambapa akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
hiyo, Dkt. Charles Kimei, kuzungumza katika hafla fupi iliyoandaliwa na
Benki hiyo kwa wateja wake
wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao
juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena,
jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi
wa Mikakati na Ubunifu wa Benki ya CRDB, Goodluck Nkini akizungumzia
mikakati mbalimbali ya Benki hiyo kwa wateja wake, wakati hafla fupi
iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake
wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao
juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena,
jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi
wa Hazina wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru akisisitiza jambo katika hafla
fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo
la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa
huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam
Septemba 29, 2017.

Sehemu ya wateja wakubwa wa Benki ya CRDB waliohudhuria hafla hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...