Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro akiongoza maofisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo jijini
Dar es Salaam katika mazoezi ya pamoja ambayo hufanyika kila mwisho wa mwezi.
IGP amewahimiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa yote kuhakikisha wanafanya mazoezi
ya pamoja ili kuendelea kuboresha afya za maofisa na askari.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...