Familia ya Ramadhani Hassan Nyamka wanakumbuka kifo cha baba yao mpendwa Ramadhani Nyamka aliyefariki Septemba 20 1997.
Ni
miaka 2o toka kuondoka kwa Ramadhani Nyamka ambaye aliwahi kuwa
Mwemyekiti wa Chama Mkoa Dar es Salaam na Meya wa Jiji la Dar es salaam
mwaka 1978-82.
Unakumbukwa
na watoto wako Zuberi, Ibrahim, Sophia, Halima, Shami, Mariam,
Maendeleo, Shaban na Mikidadi, wake zao Mama Shami na Mama Mzee pamoja
na wajukuu zako Zainab, Umrathi, Nuru, Salum, Hafidha, Sara na familia
nzima kwa ujumla.
Tunazidi kukuombea kwa Allah azidi kukupa kauli thabiti na makazi mema Akhera.
Allahuma Amin.
Allahuma Amin.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...