Mbuzi
wakipigana vibega wakati wakitimua mbio kutafuta mshindi wa shindano
lililopewa jina la 'The Southen Sun Fillies Frolic' lililodhaminiwa na
Hoteli ya Southen Sun, wakati wa mashindano ya mbio hizo za mbuzi kwa
mwaka 2017, yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Farasi, jijini Dar es Salaam
leo na kihudhuliwa na wadau mbalimbali. Mashindano haya ya mbio za mbuzi huadhimishwa kila mwaka hapa nchini
ikiwa ni sehemu ya kuchangisha fedha za kusaidia jamii mbalimbali zenye
uhitaji.
Mbuzi wakiendelea kutimua vumbi katika mchuano mkali.
Mmoja wa Mbuzi akiwa kabebwa baada ya kushindwa mbio hizo na kugoma kutembea.
Mbuzi Bingwa wa 'The Southen Sun Fillies Frolic' akipongezwa na wadau.
Shangwe tupu baada ya kuibuka kidedea.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...