Naibu Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na
Watoto Dkt. Faustine Ndungulile aliyesimama akiongea na watumishi wa Taasisi ya Taifa ya Uchunguzi
wa Dawa (NIMR) hawapo pichani wakati alipotembelea taasisi hiyo leo jijini Dar
es salaam.
Naibu Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na
Watoto Dkt. Faustine Ndungulile akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Chakula na Lishe (TFNC) Dkt.
Joyceline Kaganda kulia wakati alipotembelea ofisi hizo leo jijini Dar es
salaam.
Watumishi
wa Taasisi ya Taifa ya Uchunguzi wa Dawa
(NIMR) waliokaa wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri Wa Afya,Maendeleo
ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndungulile aliyesimama mbele wakati alipotembelea taasisi
hiyo leo jijini Dar es salaam.
Baadhi
ya watendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC) wakimsikiliza kwa makini Naibu
Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine
Ndungulile hayupo pichani wakati
alipotembelea ofisi hizo leo jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na
Watoto Dkt. Faustine Ndungulile wa pili kutoka kushoto waliokaa akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Taasisi ya Taifa ya Uchunguzi wa Dawa (NIMR) wakati
alipotembelea taasisi hiyo leo jijini Dar es salaam, , wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
NIMR Dkt. Yunus Mgaya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...