Wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la Samora wakipozi kwa
picha ya pamoja wakiwa katika umbo la moyo ikiwa ni ishara ya kuonyesha upendo
na ukarimu kwa wateja wao kipindi hii benki yao ikiendelea kuadhimisha mwezi wa
huduma kwa wateja.
Mteja wa Benki ya NBC, Neema Xibona (kulia) akionyesha
furaha mbele ya wafanyakazi wa benki hiyo Tawi la Samora, Dar es salaam ambapo sasa NBC inaendelea
kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja. Wafanyakazi hao wanatumia muda wao kuwa
karibu na wateja kusikiliza maoni yao kuhusu huduma na changamoto wazipatazo na
kuzitafutia ufumbuzi.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mbagala, Sady Mwang’onda
(kulia), akizungumza na mmoja wa wateja, Elias Kaaya alipofika katika tawi lake
kupata huduma.
Meneja wa NBC Tawi la Samora, Faustina Maeda,
akimkaribisha Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, James Kinyanyi (kulia)
alipotembelea katika tawi hilo kuangalia ubora wa huduma zinazotolewa kwa
wateja na pia alipata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya wateja.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...