Meneja wa Kampuni ya Specious Afrika Hennesseyy Mdendwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa lebo mpya iliyo chini ya kampuni hiyo, kulia ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Eliud Modest na kushoto ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Akil Mohamed.
Msanii Akil Mohamed (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Eliud Modest.
Msanii Eliud Modest (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious
Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Akili
Mohamed. Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...