Wewe ni Mjasiriamali mdogo ? Unataka kupata ujuzi sahihi utakao kusaidia kuongeza kipato chako ? Kama jibu lako ni NDIO basi hii ni HABARI NJEMA SANA KWAKO.
Neema Institute Of NGO Management wanakutangazia nafasi za kushiriki katika mafunzo ya ujasiriamali.
Somo litakalo fundishwa ni namna ya KUTENGENEZA PIPI ZA VIJITI kwa kutumia SUKARI GURU na SUKARI YA KAWAIDA.
Mafunzo haya yatafanyika siku ya JUMAMOSI ya tarehe 04 NOVEMBA 2017 kuanzia SAA TATU KAMILI ASUBUHI katika madarasa ya MBUJI EDUCATION CENTER yaliyopo mtaa wa UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA jirani na KAGAME HOTELI.
ADA ya kushiriki katika mafunzo haya ni NAFUU SANA.
Tunapatikana mtaa wa UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING. Kujiandikisha katika mafunzo haya, wasiliana nasi kwa SIMU 0787 016 929.
FAIDA ZA KUSHIRIKI KATIKA MAFUNZO HAYA
Pipi za vijiti zinazo tengenezwa kwa kutumia SUKARI GURU na SUKARI YA KAWAIDA ni bidhaa inayo pendwa sana na watoto wa shule za msingi , sekondari na watoto wote kwa ujumla. Ujuzi wa kutengeneza pipi hizi utakusaidia kuongeza kipato chako.
Kama wewe ni mjasiriamali ambae tayari una nafasi ya kuuza biashara kwenye eneo la shule, mafunzo haya yatakupa ujuzi utakao kuongezea kipato.
CHANGAMKIA FURSA HII MAPEMA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...