Mtaalamu
wa dawa za Usingizi na ganzi wakati wa operesheni, Dk. David Chiunga,
akimpima mapigo ya moyo mmoja wa wagonjwa waliofika kupata huduma za
matibabu bure wakati wa hafla ya uzinduzi wa hospitali ya Marie Stopes
iliyoboreshwa na kituo cha kupokea simu za wateja, Mwenge jijini Dar es
salaam hivi karibuni.
Mtaalamu wa masuala ya afya katika
Hospitali ya Marie Stopes, Neema Mgumba akimpima mapigo ya moyo mmoja wa
wagonjwa waliofika kupata huduma za matibabu bure wakati wa hafla ya
uzinduzi wa hospitali ya Marie Stopes iliyoboreshwa na kituo cha kupokea
simu za wateja, Mwenge jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Mtaalamu wa masuala ya afya katika
Hospitali ya Marie Stopes, Joan Rwechungura akichukua sampuli ya damu
kutoka kwa mmoja wa wagonjwa waliofika kupata huduma za matibabu bure
wakati wa hafla ya uzinduzi wa hospitali ya Marie Stopes iliyoboreshwa
na kituo cha kupokea simu za wateja, Mwenge jijini Dar es salaam hivi
karibuni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...