Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje Haji Mnasi akikagua mradi mkubwa wa ujenzi wa tanki la maji wa ujazo wa lita laki Tano unaofanywa na m/s singilimo enterprises ltd ambapo utagharimu kiasi Shilingi 557073162/= ambapo utakapokamilika januari mwakani utawezesha watu zaidi ya watu 20000 wa i Kata ya tumba na Isongole na maeneo jirani wilayani ileje kupata Maji Safi na Salama kwa uhakika zaidi.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje Haji Mnasi akimsikiliza Mhandisi wa Mradi Mkubwa wa Maji unao hudumi kata ya Itumba na Isongole kwa zaidi ya lita 5000
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje Haji Mnasi akikagua mradi mkubwa wa ujenzi wa tanki la maji wa ujazo wa lita laki tano unaofanywa na m/s singilimo enterprises ltd ambapo utagharimu kiasi Shilingi 557073162/= ambapo utakapokamilika januari mwakani utawezesha watu zaidi ya watu 20000 wa i Kata ya tumba na Isongole na maeneo jirani wilayani ileje kupata Maji Safi na Salama kwa uhakika zaidi.
--





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...