Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Dkt Lugano Wilson akiambatana na Timu ya Wafanyakazi wa Shirika hilo kutoka Ofisi ya Uhusiano makao makuu, Kitengo cha udhibiti wa Upotevu Mapato makao makuu na mkoa wa Arusha , na Kitengo cha Usalama pamoja na wenyeji TANESCO arusha katika Oparesheni Maalum ya Kuwafichua wezi wa Umeme Katika Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Kwenye Oparesheni hiyo, ambapo Ukaguzi huo umefanikisha Kuwakamata Zaidi ya Watuhumiwa 20 waliobainika Kujihusisha na Wizi wa Umeme Kwenye Wilaya hiyo ya Arumeru.
Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO ) Dkt LUGANO WILSON, aliyevaa Shati la Pinki akisikiliza kwa umakini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO wakati wa Oparesheni hiyo.

Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO ) Dkt LUGANO WILSON, aliyevaa shati la Pinki akiwa Kwenye Oparesheni ya Kuwakamata watuhumiwa wa Wizi wa Umeme katika Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.

Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO ) Dkt LUGANO WILSON, aliyevaa shati la Pinki akifuatilia namna Oparesheni ya Kuwakamata watuhumiwa wa Wizi wa Umeme katika Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO ) Dkt LUGANO WILSON, aliyevaa shati la Pinki akitoa maelekezo Wakati wa Oparesheni ya Kuwakamata watuhumiwa wa Wizi wa Umeme katika Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...