Meneja
Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Chisel akijadiliana jambo na
Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo
Mwangaza Matotola na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City Joseph Umoti
(katikati mapema jana katika duka la Mlimani city.
Meneja
huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mwangaza
Matotola (kushoto) akisaidiana na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City
Joseph Umoti kutoa huduma kwa Happiness Muthali wakati wa kuadhimisha
wiki ya huduma kwa wateja. Maadhimisho hayo yameanza jana.
Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo
Mwangaza Matotola (kushoto) na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City
Joseph Umoti wakifurahi jambo na mteja wakati wa kuadhimisha wiki ya
huduma kwa wateja. Maadhimisho hayo yameanza jana.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...