Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Dk.Moses Kusiluka akizungumza katika warsha ya kuwajengea uwezo wa wizara hiyo juu ya mfumo ulinganifu wa taarifa za sekta ya ardhi nchini iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Tehama wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi, Shaban Pazi akizungumza juu utumiaji wa mfumo wa ulinganifu wa taarifa za sekta ya ardhi katika warsha kujengea uwezo wadau wa wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Hati Msaidizi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Appolo Laizer akizungumza wakati wa akiwasiliasha mada katika warsha ya kuwajengea uwezo wa wadau wa wizara hiyo juu ya mfumo ulinganifu wa taarifa za sekta ya ardhi nchini iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi , Dk.Moses Kusiluka akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufungu warsha ya kuwajengea uwezo wa watumishi wa wizara hiyo juu ya mfumo ulinganifu wa taarifa za sekta ya ardhi nchini iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...