Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. January Makamba leo amekutana na kufanya
mazungumzo na Viongozi wa Taasisi za Muungano zilizopo Zanzibar. Katika kikao hicho kilichofanyika
katika Jengo la Uhamiaji Waziri Makamba alitoa fursa ya viongozi hao kuwasilisha maoni na changamoto
zinazojitokeza katika utendaji wao wa kazi na kuweka mikakati ya kukabiliana nazo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...