Anayetajwa kuwa mmiliki wa shule ya Sekondari ya Scolastica iliyopo mji ndogo wa Himo Edward Shayo na wenzake wawili Hamid Chacha na Laban Nabiswa wakisindikizwa kuingia chumba cha mahakamani.
Anayetajwa kuwa mmiliki wa Shule ya Sekondari ya Scolastica Edward Shayo na wenzake wawili wakitoka nje ya chumba cha mahakamani Mara baada ya kusomewa shtaka la kuua kwa kukusudia .
Mmoja wa ndugu wa kijana Humphrey Shayo akilia kwa uchungu wakati akitoka katika chumba cha mahakama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...