Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya Kushuhudia utiwaji wa saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kushoto akitiliana saini na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang Yigao kuhusiana na ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kushoto akikabidhiana vitabu vya mikataba na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang Yigao Baada ya kutiliana saini kuhusiana na ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...