NGOWI TV ni kituo cha televisheni katika mtandao (online television) kinachojikita katika kutoa elimu na habari zilizochambuliwa kuhusu masuala ya uchumi, biashara na maendeleo duniani na Tanzania.
Inafanya chambuzi za kisayansi za mambo ya uchumi na biashara na jinsi mambo haya yanahusiana na maendeleo katika ujumla wake.
Inalenga kuwa kituo mahiri katika kuelimisha, kuarifu na kushauri jamii na wafanya maamuzi kuhusu uchumi, biashara na maendeleo katika mapana yake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...