LEO, NOVEMBA 4, NI MIAKA MITANO TANGU MPENDWA WETU MARTHA TUNU PATRICK MOMBO ULIPOTANGULIA MBELE YA HAKI NA KUTUACHIA MAJONZI NA PENGO LISILOZIBIKA DAIMA. KAMWE HATUWEZI KUSAHAU UPENDO WAKO, BUSARA ZAKO NA UCHESHI WAKO
UNAKUMBUKWA SANA NA FAMILIA NA UKOO WA BALOZI PATRICK CYPRIAN MOMBO, NDUGU NA JAMAA ZETU WOTE
RAHA YA MILELE UMPE, EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE. ASTAREHE KWA AMANI. AMINA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...