Wabunge wakiwa wakijiandaa na mazoezi ya Bunge Sports Club yakiendelea kwenye Viwanja vya Chuo cha Biashara Dodoma (CBE: tayari tayari kwa michezo ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza Desemba Mosi Jijini Dar es salaam.
Mhe Omary Mgumba kushoto na Mhe Musa Sima wakinyoosha viungo
Mhe Ridhiwani Kikwete na Sixtus Mapunda wakimsikiliza Mwalimu wao





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...