Ujenzi wa majengo mbalimbali katika
Kituo cha Afya Cha Ihongole umeanza kutokana na fedha za Serikali Tsh.
500m/=. Ujenzi huu unahusisha kujenga Maabara, Chumba cha Upasuaji, Wodi
ya Wazazi (Mama na Mtoto), kichomea taka , na nyumba ya
Muuguzi/Daktari.
Yote haya ni ushirikiano kati ya Mbunge,
Mkuu wa Wilaya, Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi na watendaji wa
Halmashauri, Serikali na Wananchi. Mafinga Sisi Kazi Tu
Ujenzi wa Jengp la Mama na Mtoto ukiendelea
Jengo la Maabara ujenzi wake ukiendelea pia
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...