Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Aldersgate ya mjini Babati ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma kwa lengo la kujifunza Novemba 16, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wananfunzi wa shule ya Sekondari ya Ibuaga wilayani Kongwa ambao walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao Spika wa Bunge, Job Ndugai Novemba 16, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM wa mkoa wa Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 16, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wananchuo wa Chuo Kikuu cha Saint John cha mjini Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma Novemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...