Tabasamu Mubashara toka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa
Airtel Tanzania dada yetu Beatrice Singano Mallya baada ya kuhitimu na
kutunukiwa nondoz yake ya Masters in Business Administration (MBA) kutoka chuo cha
kimataifa cha ESAMI (The Eastern and Southern African Management Institute)
ambao makao makuu yake yapo jijini Arusha Tanzania
Home
HABARI
MDAU BEATRICE SINGANO MALLYA ALA NONDOZZ YAKE YA UTAWALA KWENYE BIASHARA A.K.A MASTERS IN BUSINESS ADMINISTRATION (MBA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...