Waimbaji wa bendi ya Mount Meru Rickernest wakiongozwa na Rais wa Bendi hiyo Fabrice Kulialia (Teminator wa masauti) tatu kulia wakiwa wanashambulia jukwaa wekendi hii ndani ya ukumbi wa Triple A (picha na Woindeshizza blog )
Mara moja moja kujitokeza kushuhudia bendi sio mbaya apa mmiliki walibeneke la kaskazini blog Woinde shizza katik kati nikiwa na mashabiki zangu tukiendelea kuburudika na bendi hii
Yalikuwa ni mambo ya sebene tu ,ukifika jijini Arusha usiulize pa kwenda ni Triple A Club tu kwa burudani za aina yote kuanzia vinywaji ,disco la nguvu pamoja na live band kutoka bendi ya Mount Meru Rickernest Music (picha na Woinde Shizza,Arusha )
katika bendi hiii pia kuna wadada wa kike nikimaanisha wanenguaji hapa wakifanya yao.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...