Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya
NBC, Filbert Mponzi (katikati) akisaini mkataba wa ushirikiano katika ya NBC na
Kampuni ya Bima ya Sanlam, jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Kulia kwake ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka na kushoto kwake ni
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman.
Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za
kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake ndani ya matawi ya NBC nchini
kote Waliosisima kutoka kushoto ni, Meneja Uenezaji Biashara na Masoko
wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka
na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava.
Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) Ofisa Mtendaji Mkuu
wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya
Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman
(kulia), wakifurahi baada ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano. Wa
pili kutoka kushoto ni Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General,
Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima
Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava.
Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki
pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote
Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati), akizungumza katika hafla ya
utiaji saini makubaliano ya ushirikiano katika ya benki hiyo na Kampuni ya Bima
ya Sanlam. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General, Manasseh Kawoloka
na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam Life, Khamis Suleiman. Ushirikiano
kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na
huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...