Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
akisalimia wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya
ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani humo kwenye
sherehe zilizofanyika leo Jumamosi Novemba 4, 2017. Uwanja huo ambao utakuwa na
njia yenye urefu wa kilomita 3, unajengwa na makandarasi wazalendo.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiwa na Waziri wa Nishati Dkt
Medard Kalemani ambaye ni Mbunge wa Chato wakifunua kitambaa kuashiria
uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa
Geita unaojengwa wilayani humo kwenye sherehe zilizofanyika leo Jumamosi
Novemba 4, 2017. Uwanja huo ambao utakuwa na njia yenye urefu wa kilomita 3,
unajengwa na makandarasi wazalendo.

Wabunge wa Mkoa wa Geita wakipanda mti wakati wa sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa
wa Geita unaojengwa wilayani humo kwenye sherehe zilizofanyika leo Jumamosi
Novemba 4, 2017. Uwanja huo ambao utakuwa na njia yenye urefu wa kilomita 3,
unajengwa na makandarasi wazalendo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiwa
na Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ambaye ni Mbunge wa Chato pamoja na
viongozi waandamizi wa Wizara na mkoa wakikata utepe kuashiria uwekaji wa
jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita
unaojengwa wilayani humo kwenye sherehe zilizofanyika leo Jumamosi Novemba 4,
2017. Uwanja huo ambao utakuwa na njia yenye urefu wa kilomita 3, unajengwa na
makandarasi wazalendo.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto) akipata maelezo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani Chato. Uwanja huo ambao utakuwa na njia yenye urefu wa kilomita 3, unajengwa na makandarasi wazalendo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...