Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la wanamaji wa Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la wanamaji na wanaanga wa Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la wanamaji wa Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali na Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin alipoitembele aleo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali na Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin alipoitembele aleo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...