Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Wabunge kwa ajali ya maandalizi ya Mkutano wa Tisa wa Bunge la Kumi na Moja unaotarajiwa kuanza kesho Novemba 7/2017 Mjini Dodoma. Mkutano huo umefanyika leo Novemba 6/2017 katika Ukumbi wa Msekwa Dododma. kushoto ni Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...