Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani akagua mitambo ya kuzalisha Umeme ya kituo cha Umeme KIDATU, sambamba na ukaguzi huo Dkt.Kalemani alipokea taarifa ya hali ya mitambo ya uzalishaji umeme pamoja na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Mtambo namba 1, ulioanza kufanyiwa ukarabati tarehe 19 Oktoba 2017 na kampuni ya Koncar yenye makao yake nchini Croatia.
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani akikagua mitambo ya kuzalisha Umeme ya kituo cha Umeme KIDATU, sambamba na ukaguzi huo Dkt.Kalemani alipokea taarifa ya hali ya mitambo ya uzalishaji umeme pamoja na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Mtambo namba 1, ulioanza kufanyiwa ukarabati tarehe 19 Oktoba 2017 na kampuni ya Koncar yenye makao yake nchini Croatia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...