Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza mkutano wa tisa wa kikao cha nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu leo mjini Dodoma unapofanyika mkutano wa tisa wa kikao cha nane.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dk.Hamisi Kigwangalla akimsikiliza Mbunge wa Karagwe(CCM) Mhe.Innocent Bashungwa wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...