Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kusalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Sezaria Makota kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Jamuhuri leo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma kuhudhuria sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara zinazofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoani Dodoma alipowasili katika uwanja wa ndege kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara kesho katika viwanja vya Jamuhuri Dodoma.(Picha na Othman Maulid)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...