Safari ya mwisho hapa duniani ya marehemu Idd Salum,Maziko yake yamefanyika jana jioni katika Makaburi ya Kawe,Kinondoni jijini Dar..
Shughuli za mazishi zikiendelea.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwa makaburini.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Idd Salum wakati wakielekea kwenye maziko makaburi ya Kawe,Kinondoni jijini Dar.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...