RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakishiriki katika Sala ya kuuombea dua Mwili wa Marehemu Mtumwa Mgeni , mama mzazi wa Meja Mstaaf na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ., Mhe. Juma Kassim Tindwa, sala hiyo imefanyika katika msikili wa Kilimani na kuzikwa katika makaburi ya Kwarara.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka  mchanga  katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni  Mama mzazi wa Meja Mstaaf Juma Kassim Tindwa katika makaburi ya Kwarara mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na waombolezaji wengine wakiitikia dua inayosomwa na Sheikh Sharif Abdulrahaman Sharif, wakatika wa mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...