Mwanaharakati wa Haki za Watoto nchini na Mkurugenzi wa Taasisi ya Msichana Initiative , Rebeca Gyumi akizungumza na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo mbalimbali vya Habari juu ya haki za Mtoto na vita dhidi ya Ndoa za Utotoni zinazoendelea nchini.
Mtaalamu wa kupigania Haki za Watoto kutoka Taasisi ya Save The Children, Neema Bwaira akizungumza na Wahariri na Waandishi Waandamizi wa Vyombo Mbalimbali vya Habari hapa nchini wakati wa Semina juu ya haki za Mtoto Jijini Dar es Salaam
Mtaalamu wa Masuala ya Haki za Watoto kutoka nchini Thailand anayefanya kazi na Taasisi ya Save The Children nchini, Yui Mutomol akitoa Elimu kwa Waandishi wa Habari waandamizi na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari Jijini Dar es Salaam
Sehemu ya Waandishi Waandamizi na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza kwa Makini wakati wa semina ju ya haki za Mtoto iliyoandaliwa na Taisisi ya Save The Children Jijini Dar es Salaam
Sehemu ya Waandishi Waandamizi na Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya habari waliohudhuria Semina juu ya haki za mtoto iliyoandaliwa na Tasisi ya Save The Children nchini
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...