Mkuu wa Wilaya Ilala,Sophia Mjema akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Muhimbili wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Tumkumbuke Mtoto wa kiume, inayoendeshwa na Tasisi ya Dahuu Foundation inayotoa elimu ya kuwakinga watoto wa kiume wasikumbwe na majanga mbalimbali.
Mkuu wa Wilaya Ilala,Sophia Mjema, akicheza na wanafunzi wa Kiume wa shule ya msingi Muhimbili wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Tumkumbuke Mtoto wa kiume inayoendeshwa na Tasisi ya Dahuu Foundation
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Muhimbili wakiwa katika Maandamano yenye mabango ambao walipita mbele ya mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema Kuonesha hisia zao.
Mkurugenzi wa Dahuu Foundation, Husna Abdul akizungumza kabla ya kumkaribisha mkuu wa Wilaya kufanya uzinduzi wa kampeni ya Tumkumbuke Mtoto wa kiume inayoendeshwa na Tasisi ya Dahuu Foundation
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...