Wanyamapori
aina Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire inayopatika
kwenye mikoa ya Manyara na Arusha ni kivutio kikbwa kwa wageni
wanaotembela hifadhi hiyo.

Wanyamapori aina Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire inayopatika kwenye mikoa ya Manyara na Arusha ni kivutio kikbwa kwa wageni wanaotembela hifadhi hiyo.
Miti aina ya Mibuyu inaonekana kwa wingi na inaongeza mvuto kwenye hifadhi ya Taifa Tarangire.
Pundamilia ni sehemu ya kivutio cha watalii wa ndani na nje ya nchi .
Msururu wa magari ya watalii ukisubiri utaratibu wa malipo kwa njia ya kadi kuanza safari ya kutembelea hifadhi hiyo
Watalii wakiwa ndani ya Hifadhi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...