Mchezo wa kubahatisha wa Tatu Mzuka kupitia mshindi wa wiki iliyo pita kutoka Temeke Erinisha
Kilango aliyeshinda milioni 50,wamezawadia Wilaya ya Temeke mabati ya
thamani ya milioni 5 kusaidia kujenga kituo cha polisi cha Mbande.
Tatu
Mzuka inasemaga kuwa "ukishinda na Tanzania inashinda. Kwenye wilaya
ambayo mshindi anatoka, Tatu Mzuka wanazawadia wilaya milioni 5
kusaidia maendeleo ya wilaya hiyo.
Ukicheza
Tatu Mzuka , unaweza kushinda hadi milioni 6 kila lisaa, milioni 10 kila
siks na jumapili hii kuna jackpot ya milioni 70 ya kuzawadia.
Afisa wa mawasiliano Bi. kemi Mutahaba akikabithi mabati ya thamani ya
millioni 5 kwa Katibu Tawala wa Temeke Mh. Hamisi Komba kusaidia
kujenga kituo cha Polisi Mbande, wilaya ya Temeke.
Mafundi wa ujenzi wakiwa wana kabidhiwa mabati yenye thamani ya milioni
5 na Afisa ya Mawasiliano wa Tatu Mzuka, Bi Kemi Mutahaba.
Mhe Hamisi Komba, Katibu tawala wa wilaya ya Temeke akikabidhiwa fedha tasilimu milioni 5 na Bi . Kemi Mutahaba wa Tatu Mzuka kwa ajili ya kununua mabati yatakayo
tumika kujenga kituo cha Polisi Mbande, Temeke. 
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...