Mkurugenzi
wa Kampuni ya Tigo-Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson
Kiswaga (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh1 milioni Wakala wa
Tigo Pesa, Asha Ramadhani kutoka Mkoani Ruvuma baada ya kuibuka mshindi
kwa kufanya vizuri kwenye huduma ya TigoPesa katika droo inayochezeshwa
na kampuni hiyo. Hafla hiyo ilifanyikia Makao Makuu ya Ofisi za Tigo
Kanda hiyo zilizopo Uhindini Jijini Mbeya.
Mwakilishi
wa mshindi wa Tigo pesa wakala David Lucas,Joyce David(wa pili kushoto)
akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa
Joseph Mutalemwa(kulia), wakati wa hafla ya kuwapa zawadi mawakala
waliofanya vizuri kwenye miamala ya Tigo pesa iliyofanyika jijini Mwanza
jana, kushoto ni Mratibu wa Tigo wa Masoko na Biashara kanda ya Ziwa
Abraham Mchau akishuhudia.

Mwakilishi wa mshindi wa Tigo pesa wakala kutoka Kahama mkoani Shinyanga Asha Athuman,Daud Kilonzo akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(kushoto), wakati wa hafla ya kuwapa zawadi mawakala waliofanya vizuri kwenye miamala ya Tigo pesa iliyofanyika jijini Mwanza jana, kulia ni Meneja wa Tigo kanda ya Ziwa Kaskazini Daniel Mainoya akishuhudia.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...