Tahir na askari wenzake wanajiandaa kwenda katika doria kaskazini mwa Mali eneo lililotawaliwa na vikundi vya magaidi na pia wanamgambo wa Boko Haram. Swali !!! je yeye na wenzake watarudi salama? #MINUSMA,#PEACEKEEPER
kwa habari mbalimbali tembelea http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/
Home
Unlabelled
UNNewsKiswahili: Hii ndio hali halisi ya kazi za walinda amani wa UN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...