Meneja Masojo wa Zantel, Bi. Rukia Mtingwa (kulia) akikabidhi
zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kwa Bwana Moiz Johar
Hussein Hassanali mmoja wa washindi wa
wiki wa promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ambayo
mteja wa Zantel akiongeza muda wa
maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki. Zawadi za pikipiki,
baiskeli, simu na pesa taslimu hutolewa kila wiki.
Meneja Masoko wa Zantel, Bi. Rukia Mtingwa akizungumza
katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi huyo Bwana Moiz
Johar Hussein Hassanali .
Meneja Masoko wa Zantel, Bi. Rukia Mtingwa (kulia) akipiga
simu kwa kwa simu na mmoja wa washindi
wa promosheni ya Jero yako ya Zantel huku mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya
Kuabahatisha Jehud Ngolo (kushoto) akisikiliza pamoja na mfanyakazi mwingine wa
Zantel katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Zantel mjini Zanzibar, Mohammed Mussa Baucha
(kulia), akikabidhi zawadi ya simu kwa Taimur Mohamed Hussein mmoja wa washindi wa promosheni ya Jero yako,
kisiwani humo juzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...