Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni mjini Dodoma Februari7, 2018.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge , Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya, Bungeni mjini Dodoma Februari 7, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Hanang, Dkt. Mary Nagu, bungeni mjini Dodoma Februari 7, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara kuelekea kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma Februari 7, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kavuu, Dkt. Pudenciana Kikwembe kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma, Februari 7, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...